Kutoka Chadema:Maelfu Wajitokeza Mkutano wa Chadema Mkoani Mbeya,Mwenyekiti Freeman Mbowe,Mbunge wa iringa mjini mchungaji peter msigwa na mbunge wa mbeya mjini joseph mbilinyi aka mr II sugu waung’uruma na Kuzindua M4C mbeya

moto wa mageuzi unaendelea kuwaka kanda hizi..

kifltd

 

 Mwneyekiti wa Chadema na Mbunge wa Hai Freeman Mbowe akiunguruma kwenye mkutano wa hadhara wa Chadema mkoani mbeya
 Mbunge wa iringa mjini Chadema Mchungaji Peter Msigwa akiunguruma kwneye mkutano wa chadema Mbeya
 Mbunge wa Mbeya mjini Chadema Joseph Mbilinyi aka Mr II Sugu akiwasha moto kwenye mkutano wa Chadema Mkoani Mbeya
 Sehemu ya Michango mbalimbali kutoka kwa wanachama na wapenzi wa chadema waliochangia kampeni ya vuguvugu la mabadiliko (M4C)kwenye mkutano huo wa hadhara
 
 Sehemu ya Babango kwenye mkutano huo
Sehemu ya maelfu ya wananchama wa chadema mkoani mbeya wakimsikiliza mwenyekiti wa chadema na mbunge wa  Hai Freeman Mbowe akiunguruma-
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimesema kuwa kimeamua kuanza kutekeleza sera yake ya kuongoza kwa majimbo sasa ili kuongeza nguvu ya mapambano na harakati za kuhakikisha wanafanikisha malengo yao ya kushika dola mwaka 2015, badala ya kuendelea kutumia mfumo wa zamani ambao ilikuwa rahisi kudhibitiwa na serikali…

View original post 466 more words

Advertisements

About chescomatunda

black and sharp guy living in city dsm.
This entry was posted in Uncategorized. Bookmark the permalink.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s